Social Icons

Friday, September 23, 2016

NAIBU KATIBU MTENDAJI ANAYESIMAMIA KLASTA YA MIUNDOMBINU FUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA MIPANGO KANDA ZA NYANDA ZA JUU KUSINI

Naibu Katibu Mtendaji anayesimamia Klasta ya Miundombinu na Huduma, Mhandisi Happiness Mgalula akifunga mafunzo ya Maafisa Mipango na Wachumi Kanda za Nyanda za Juu Kusini yaliyofanyika katika jijini Mbeya. Kushoto kwake ni Dkt. John Mduma, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kushoto kwake ni Dkt. Lorah Madete, Kaimu Naibu Katibu Mtendaji anayesimamia klasta ya Uchumi Jumla. Mafunzo hayo yalijumuisha mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa, Songwe na Mbeya
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakipiga makofu wakati wa kufunga mafunzo hayo.

Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya Mwongozo wa Uwekezaji wa Umma kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Sinene akichangia hoja katika mafunzo hayo yalifanyika jijini Mbeya


No comments:

Post a Comment