Wafanyabiashara
wa Biashara Ndogondogo Maarufu kwa Jina la Machinga waanza kunufaika na
Soko kuu la Kimataifa la Mwanjelwa lilopo Jijini Mbeya mara baada ya
Serikali kuwaruhusu kuingia katika Soko hilo na kuwapiga marufuku
kufanya tena Biashara zao nje ya Soko hilo na kuzingatia Utaratibu na
Sheria za Soko hilo la Mwanjelwa Jijini Mbeya.
Moja
kati ya Wafanyabiashara hao akijipatia Taswira kwenye moja ya kijieneo
alicho Kibuni kuajili ya kufanyia Biashara zake katika Soko hilo la
Mwanjwelwa Jijini Mbeya
Kikundi
cha Wafanyabiashara hao wa Umachinga wakidhadhiana Jambo ndani ya wigo
wa Soko hilo mara baada ya kuruhusiwa kufanya Biashara zao ndani ya Soko
hilo la Mwanjelwa.
Moja
ya Barabara Iliyo kuwa ikitumika na Wafanya Biashara hao katika Eneo la
Mwanjelwa sasa Shwarii kabisaa hakuna anaeuza Nje ya Wigo wa Soko hilo.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO WA MMG MBEYA.
Moja
ya Barabara Iliyo kuwa ikitumika na Wafanya Biashara hao katika Eneo la
Mwanjelwa sasa Shwarii kabisaa hakuna anaeuza Nje ya Wigo wa Soko hilo.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO WA MMG MBEYA.
CHANZO MTAA KWA MTAA BLOG


No comments:
Post a Comment