Naibu Katibu Mtendaji anayesimamia Klasta ya
Miundombinu na Huduma, Mhandisi Happiness Mgalula akifunga mafunzo ya Maafisa Mipango
na Wachumi Kanda za Nyanda za Juu Kusini yaliyofanyika katika jijini Mbeya.
Kushoto kwake ni Dkt. John Mduma, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na
kushoto kwake ni Dkt. Lorah Madete, Kaimu Naibu Katibu Mtendaji anayesimamia
klasta ya Uchumi Jumla. Mafunzo hayo yalijumuisha mikoa ya Mbeya, Iringa,
Ruvuma, Rukwa, Songwe na Mbeya
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakipiga
makofu wakati wa kufunga mafunzo hayo.
Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya Mwongozo wa
Uwekezaji wa Umma kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Makete, Sinene akichangia
hoja katika mafunzo hayo yalifanyika jijini Mbeya
No comments:
Post a Comment