Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni(kushoto), akisalimiana na viongozi wa Idara za wizara yake hiyo
jijini Mbeya baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe kwa ziara ya kikazi
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(kulia), akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, jijini Mbeya kwa ziara ya
kikazi.Wengine ni viongozi wa idara za wizara yake jijini hapo
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni(katikati), akizungumza na aliyewahi kuwa kiongozi katika Serikali zilizopita,Profesa David
Mwakyusa (kushoto), baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe,
jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI



No comments:
Post a Comment