Social Icons

Friday, March 10, 2017

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI; BAWACHA WAONYESHA UTU


Katibu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga akitoa mada wakati wa kongamano na Baraza la wanawake la chama hicho Mkoa wa Mbeya BAWACHA lililofanyika katika Ukumbi wa JM jiji Mbeya Siku ya maadhimisho ya wanawake duniani.

Chini ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Mbeya Happness Kwilabya akifungua kongamano la wanawake na kabla ya kongamano wanawake wa chama hicho walienda kujitolea damu katika hospitali ya Rufaa ya kanda Nyanda za juu kusini Mbeya na mifuko ya saruji 10 kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya watoto katikahospitali hiyo.  

(Picha na Kenneth Ngelesi).
 

No comments:

Post a Comment