Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Kapteni Mstaafu George Mkuchika (katikati) akipatiwa maelezo juu
maendeleo ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) tawi la Mbeya
kutoka kwa Mkurugenzi wa tawi hilo Dkt. Heriel Nguvava ,kulia ni Mkuu wa
Wilaya ya Mbeya Paul Ntinika.Waziri alitembelea tawi hilo mwishoni mwa
wiki ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuyatembelea matawi ya
TPSC.TPSC ina matawi sita.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Kapteni Mstaafu George Mkuchika (katikati) akimsikiliza Mkurugenzi wa
tawi la Mbeya wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt Heriel
Nguvava (kulia) wakati Waziri alipotembelea tawi hilo mwishoni mwa wiki
ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuyatembelea matawi ya TPSC, TPSC
ina matawi sita, kushoto ni Mkuu wa TPSC Dkt. Henry Mambo
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Kapteni Mstaafu George Mkuchika kulia akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi
wa tawi la Mbeya wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt
Heriel Nguvava wakati Waziri huyo alipotembelea tawi hilo mwishoni mwa
wiki ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuyatembelea matawi ya TPSC,
TPSC ina matawi sita
Mfanyakazi
wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) tawi la Mbeya Nuhuman Iddy
akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika wakati Waziri
huyo alipotembelea tawi hilo mwishoni mwa wiki ikiwa ni muendelezo wa
ziara zake za kuyatembelea matawi ya TPSC, TPSC ina matawi sita
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Kapteni Mstaafu George Mkuchika (katikati aliyekaa mbele) akiwa kwenye
picha ya pamoja na uongozi wa cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) tawi
la Mbeya, kulia kwake ni Mkuu wa TPSC Dkt. Henry Mambo , wengine ni
viongozi waandamizi wa mkoa wa Mbeya
No comments:
Post a Comment