| mtaalamu wa kilolo kilolo akitoa maelekezo kwa wananchi waliofika banda la Kilolo kupata elimu juu ya zao la mahindi |
| Wakuu wa idara Kilolo wakiwa katika banda la Kilolo |
| DC Kilolo Bi Asia akitazama nguo zilizokuwa zikiuzwa kwenye banda la Kilolo toka kwa wajasiliamali wa Ruaha mbuyuni |
| Mkurugenzi Kilolo Bw Aloyce Kweziakionyesha mbuga iliyopandwa kwenye bustani ya aina yake |
| Mkurugenzi Kilolo Bw , Aloyce Kwezi kushoto akiwa na wataalam wake kwenye banda la Kilolo |
| Wananchi wakitazama banda la ufugaji |
| Bw Aloyce Kwezi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa maonyesho hayo kijana Remi Sanga mtaalam wa maua na wengine |
| , Aloyce Kwezi mkurugenzi Kilolo akitembelea banda la Kilolo |
| wananchi wakitazama bidhaa mbali mbali katika banda la Kilolo |
| Mkurugenzi Kilolo na viongozi mbali mbali wakitoka katika banda la Kilolo |
| Mbunge Mary Mwanjelwa na Dc Asia Abudalah wakiwa katika maonyesho ya nanenane kanda ya nyanda za juu kusini jijini Mbeya |
| Dc Kilolo Bi Asia na viongozi mbali mbali wakimsubiri waziri mkuu |
| Mkuu wa mkoa wa Njombe Dr Rehema Nchimbi na mkuu wa wilaya ya Kilolo Bi Asia Abdalah na mbunge wa Mbeya Mary Mwanjelwa wakiwa katika picha ya pamoja na MC Charlesi Mwakipesile na meneja wa NMB Mbeya |
| Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa akifurahia nyama choma ya Mtanga ambae ni mmoja wa wadau wa maendeleo Kilolo |
| Diwani wa kata ya Ilula Bw Raymond Francis (Chadema) akifurahia ushirikiano wa viongozi na uzuri wa banda la Kilolo |
Wananchi wakitembelea banda la Halmashauri ya Kilolo wakati wa kilele cha maonyesho hayo Picha na MatukiodaimaBlog
No comments:
Post a Comment