![]() |
| Wafanyakazi wa benk ya CRDB tawi la Mbarali mkoani Mbeya wakiwa katika maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja mjini Mbarali |
![]() |
| Wafanyakazi na CRDB tawi la Mbarali mkoa wa Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya benk hiyo kama sehemu ya kuanza kuwatembelea wateja wao |
![]() |
![]() |
| wafanyakazi wa CRDB Mbarali wakiwa mtaani kutoa elimu kwa wananchi wa Rujewa |
![]() |
| wafanyakazi wa CRDB Mbarali wakiwa mnadani Ihanga kutoa elimu kwa jamii ya wafugaji wa kimasai |
![]() |
| Meneja wa CRDB tawi la Mbarali mkoani Mbeya Bw Chibby Chibby katikati akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa tawi la Mbarali wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja |
![]() |
| Wafanyakazi wa CRDB tawi la Mbarali mkoa wa Mbeya wakiwa katika ubora wao na meneja wao Bw Chibby Chibby wakati wa maadhimisho ya huduma kwa wateja |
![]() |
| Meneja wa CRDB tawi la Mbarali Bw Chibby Chibby akiwa na baadhi ya wafanyakazi wake |
![]() |
| Wafanyakazi wa CRDB tawi la Mbarali wakiwa katika picha ya pamoja na meneja wao Bw Chibby Chibby wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja |
































No comments:
Post a Comment