Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisaini kitabu cha Maombolezo wakati wa
mazishi ya Mke wa Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt
Harisson Mwakyembe, Marehemu Linah Mwakyembe Wilayani Kyela, Jijini
Mbeya.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsabai Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe Dkt Harisson Mwakyembe wakati mazishi ya Mke wake,
Marehemu Linah Mwakyembe Wilayani Kyela, Jijini Mbeya.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na
Naibu Spika Dkt Tulia Ackson wakati wa mazishi ya Mke wa Waziri Wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt Harisson Mwakyembe, Marehemu
Linah Mwakyembe Wilayani Kyela, Jijini Mbeya.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akitoa Salamu za heshima kwa mwili wa Mke
wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt Harisson
Mwakyembe, Marehemu Linah Mwakyembe wakati wa mazishi yake nyumbani
kwake Wilayani Kyela, Jijini Mbeya.
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa (wa kwanza toka kushoto)Spika wa Bunge
Mhe Job Ndugai, Naibu Spika Dkt Tulia Ackson wakifuatilia misa ya
mazishi ya Mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt
Harisson Mwakyembe, Marehemu Linah Mwakyembe wakati wa mazishi yake
nyumbani kwake Wilayani Kyela, Jijini Mbeya
Mweyekiti wa Wabunge wa Chuma cha Mapinduzi kutoka Mkoa wa Mbeya Mhe
Victor Mwambalasu akizungumza kwa niaba ya Wabunge wa Mkoa huo wakati
wa mazishi ya Mke wa Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe
Dkt Harisson Mwakyembe, Marehemu Linah Mwakyembe Wilayani Kyela, Jijini
Mbeya. Wengine katika picha ni Wabunge wa Chama cha Mapinduzi kutoka
Mkoa wa Mbeya.
Picha na Ofisi ya Bunge
No comments:
Post a Comment