Social Icons

Friday, August 4, 2017

KIPUNDUPINDU CHAUA WANE MBARALI


 Watu wanne wamefariki dunia na wengine 44 wamelazwa katika Hosptali ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya baada kuibuka ugonjwa wa Kipindupindu katika Kata ya ubaruku.
Mkuu wa Wilaya hiyo, Reuben Mfune amesema leo Ijumaa, Agosti 4 kuwa chanzo cha ugonjwa huo ni matumizi mabaya ya maji ya mito iliyokuwa imefungwa kwa ajili ya kunywesha mifugo na shughuli za kijamii.

Chanzo MwanaNchi

No comments:

Post a Comment