
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja akisisitiza jambo mbele
ya watumishi wa umma kutoka mikoa ya Songwe, Iringa, Njombe na Mbeya
alipokuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya
Uimarishaji wa Mifumo ya Kisekta (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina
hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za
Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani
(USAID). Watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya,
Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na
Halmashauri za mikoa hiyo

Kiongozi
wa wawezeshaji Bw. Frank Makua Charles akichokoza mada wakati wa semina
katika akichokoza mada wakati siku ya kwanza ya semina ya siku nane
kuhusu Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali
za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hii ya siku nane inaendeshwa
kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini
ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID)ambapo
imeshirikisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa
Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na
Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.

Mwakilishi
wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Makao Makuu
Dar es Salaam Dkt. Gemini Mtei akielezea jambo wakati wa hafla ya
ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na
Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya.
Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya
Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa
Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za
Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga
Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe,
Iringa na Songwe.

Mwakilishi
wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa (OR –
TAMISEMI), Bw. James Mtatifikolo akifafanua jambo wakati wa hafla ya
ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na
Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya.
Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya
Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa
Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za
Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga
Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe,
Iringa na Songwe.

Katibu
Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja akiagana na Meneja
Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Mkoa wa Mbeya
Bw. Gasper Materu mara baada ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya
Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa
(PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya
Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la
Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID) ambapo inahusisha watumishi wa
umma kutoka kada za Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya,
Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu kutoka Halmashauri na Mikoa ya
Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.Katikati ni Mwakilishi wa Programu ya
Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Dar es Salaam Dkt. Gemini
Mtei.

Baadhi
ya washiriki wa semina ya siku nane kuhusu Mfumo mpya wa kuandaa
Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) wakifuatilia
mada wakati wa ufunguzi wa semina hiyo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo
inayoendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za
Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani
(USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa
Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga
Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe,
Iringa na Songwe.

Mmoja
ya wawasilisha mada kutoka OR – TAMISEMI Bw. Jeremia Mtawa akiwasilisha
mada kuhusu namna mfumo wa PlanRep utakavysaidia katika kuimarisha
utendaji wa Halmashauri nchini wakati wa semina semina ya siku nane
kuhusu Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma katika upangaji mipango
na bajeti (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hii ya siku nane
inaendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma
(PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani
(USAID) ambapo inashirikisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango,
Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi
za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.

Katibu
Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja (katikati) akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya washiriki washiriki wa semina ya siku nane
juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali
za Mitaa (PlanRep) mara baada ya kufungua semina hiyo leo Jijini Mbeya.
Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya
Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa
Marekani (USAID) ambapo inahusisha watumishi wa umma kutoka kada za
Maafisa Mipango,Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama,
Waganga Wakuu kutoka Halmashauri na Mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na
Njombe.



Picha zote na: Idara ya Habari – MAELEZO, Mbeya.
No comments:
Post a Comment