Mshindi wa wiki Droo ya Tigo Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi akabidhiwa zawadi yake jijini Mbeya leo
kurugenzi wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga akifungua simu aina ya Sumsang, yenye thamani ya Shilingi milioni 1.9/= na pembeni yake ni mshindi wa wiki wa promosheni ya Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi, mkazi wa jijini Mbeya, Chiku Miyeka jana eneo la Kabwe Jijini hapa mapema jana.
kurugenzi wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga akimkabidhi simu aina ya Sumsang, yenye thamani ya Shilingi milioni 1.9/= mshindi wa wiki wa promosheni ya Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi, mkazi wa jijini Mbeya, Chiku Miyeka jana eneo la Kabwe Jijini hapa.
Wakazi wa Jiji la Mbeya wakishuhudia makabibidhiano hayo mapema jana.
TANZANIA IMEIMARISHA MAENDELEO NA HAKI ZA KIJAMII
-
Na Mwandishi Wetu WMMJW-New York Marekani
Tanzania chini ya uongozi Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan - Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania maen...
No comments:
Post a Comment